Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kcse Model Paper Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kcse Model Paper Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2011



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1) Wewe mwananchi mzalendo unayefahamu na kuthamini umuhimu wa kuyatunza na kuyahifadhi mazingira. Mwandikie mhariri wa gazeti barua ukitoa maoni na mapendekezo kuhusu mwelekeo mwafaka katika utunzaji wa mazingira nchini.
2) Andika insha yenye anwani:
Maisha ya nipe nikupe
3) Sikio la kufa halisikii dawa
4) Toa njia vile visa vya fujo baada ya uchaguzi vyaweza kuzuiwa






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers