Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Model Paper Kiswahili Paper 1 Question Paper

Model Paper Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2005



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1. Andika hotuba ya Waziri wa Afya siku ya kufunguliwa kwa hospitali mpya wilayani mwenu akizungumzia umuhimu wa usafi katika mazingira yetu.
2. “mdomo ukila pua haitaki.” Andika insha yenye anwani hii.
3. Heri kufuga mifugo kuliko kupanda mimea. Jadili.
4. Tunga kisa kinachomalizika kwa maneno yafuatayo:
5. “___Mariamu na Musa walifunga ndoa lakini aila zao bado ziliendelea kuzozana.”






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers