📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Model Paper 1 Question Paper

Kiswahili Model Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2012



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1. Baada ya matokeo mabaya ya timu ya Kenya katika Olimpiki, waziri wa michezo ameteua kamati ya watu tisa kuchunguza. Andika ripoti ya kamati hiyo wewe ndiye katibu.
2. Vifaa vya mawasiliano vina dhima gani katika jamii?
3. Andika kisa kitakachomalizika kwa maneno haya:
... Mama aliniamsha ghafla.
4. Jichukulie wewe ni ng’ ombe. Eleza changamoto unazokumbana nazo katika maisha yako.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers