Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Model Paper 1 Question Paper

Kiswahili Model Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2004



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1. Kumekuwa na hatari ya kuibiwa kwa watoto na genge la wezi. Wewe kama mkuu wa polisi toa ilani itakayochapishwa gazetini.
2. Toa maoni yako gazetini kuhusu kupitshwa kwa katiba mpya.
3. Andika insha kuhusu methali- ujanja wa nyani huishia jangwani.
4. Pendekeza mambo yanayostahili kufanywa nchini ili kuzuia ugomaji wa wafanyi kazi wa serikali






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers