Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Model Paper 1 Question Paper

Kiswahili Model Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2004



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1. Tayarisha tawasifukazi yako. Una shahada ya Hesabu kutka chuo kikuu cha Nairobi.
2. Andika insha itakayomalizikakwa maneno haya… wanakijiji walitoka ukumbini kwa mshangao wao. Walielewa wazi kuwa kipendacho moyo ni dawa.
3. Afya kwa mama wajawazito ni muhimu nchini. Jadili.
4. Andika insha juu ya methali: hakuna kubwa lisilo ukomo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers