📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2012



SHULE YA UPILI YA KOMAROCK
KIDATO CHA TATU MUHULA WA TATU-2012
KISWAHILI-102/1
LUGHA MUDA: SAA 1 3/4
JINA............................... NAMBARI YAKO.........
SAHIHI YA MTAHINIWA................ TAREHE...............

MAAGIZO
.Jibu maswali mawili. Swali la kwanza ni ya lazima. Kisha uchague swali lingine klwa yale yanayosalia

1. Umechaguliwa kuwa katibu wa chama Kiswahili shuleni. Andaa kumbukumbu za mkutano uliofanyika hivi majuzi ili kupanga mikakati ya kukiendeleza Kiswahili ndani na nje ya shule yenu.

2. Umealikwa kwenye mkutano wa amani katika wilaya yenu ambapo mkuu wa wilaya na wabunge wamehidhuria. Andika hotuba aliyotoa mkuu wa wilaya.

3. Vita vya panzi furaha ya kunguru.

4. Tunga kisa kinachoishia kwa:
......................kabla ya hapo sikuwa nikijua kuwa ukabila na ufisadi ni hatari kwa umoja wa nchi.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers