📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Nyamira-Majibu Ya Karatasi La Pili Question Paper

Nyamira-Majibu Ya Karatasi La Pili 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2009



NYAMIRA DISTRICT SCHOOLS JOINT EXAMINATIONS - 2009
102/2
KISWAHILI
KARATASI LA PILI
MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA.

1.UFAHAMU
a)Ponografia
-Madhara ya ponografia
-Uchafu wa ponografia
-Kichwa kingine mwafaka
Tuza alama 1 kwa maendelezo ya anwani.Maneno yasidizi 6, yakizidi tuza O 1 x 2 =2

b)– Kuboreka kwa teknolojia ya habari na mawasiliano
-Shida za kisaikolojia na kijamii
-Watu kutaka kuzitosheleza ashiki zao
-Kuchuma
-Ubobeaji wa tamaduni za kigeni
Tuza zozote 3 x 1 = alama 3

c)Vijana wanaowaiga wengine na kushawishika kushiriki ngono. Watu kujaribiwa kwa urahisi
-Tuza maelezo sahihi Yoyote 1 x 3 = 3

d)Wasiweze kuingia katika vitendo hatari kwa maisha yao – magonjwa,kuacha shule, mimba.n.k
Tuza maelezo sahih. Hoja zozote 2 x 1 = 2

e)– Kuongeza ufahamu wa umma kuhusu uovu huu
-Sheria kali za kuzuia uchafu huu kutokea
-Hatua kali dhidi ya wanaotenda maovu haya
-Wazazi watekeleze majukumu yao
Tuza zozote tatu 3 x 1 = alama 3

f)i) Tamaa / haja
ii) Wasizembee / wasikae tu / wasilaze damu.
iii) Uovu / unyama / uozo
Tuza 3 x 1 = alama 3
•Adhibu kosa la sarufi(s) litokeapo kwa mara ya kwanza.
•Adhibu kosa la hijai(h) litokeapo kwa mara ya kwanza.

2.UFUPISHO
a)Dhuluma kwa mwanamke ni hali ya tangu jadi
-Elimu ya jadi ilimwandaa kama chombo cha mume
-Taasubi ya kiume
-Mwanamke kama msihiri na mganga
-Kupuuzwa na kutukanwa hadharani
-Demokrasia ilimfungia nje.Tuza 1 x 5 = Alama 5
Alama 1 utiririko

b)Matokeo ya elimu ya kisasa
-Mwamko wa enzi mpya
-Mwanamke kujihami na kujiendeleza
-Vipaji katika nyanja mbali mbali
-Kikwazo cha itikadi na mila za kiasili.
-Wadumishaji wa dhuluma wasalimu amri
-Mwanamke ayaongoze maisha yake
-Hadhi ya mwanamke kukua Tuza 1 x 7 =Alama7
Alama 1 utiririko
a - 5
b- 7
Ut – 3
15
- Kadiria mpangilio /utiririko /mtindo.
- Adhibu kosa la s litokeapo kwa mara ya kwanza hadi 12 ½ x ½ = 6s
- Adhibu kosa la h litokeapo kwa mara ya kwanza hadi 6 x ½ = 3h

3. MATUMIZI YA LUGHA
a) i) Mitume hao sio ambao tunaowajua. 4 x ½ = 2
ii) Wasikilizaji sasa wanaburudika kwa muziki kutoka idhaa ya taifa. Tuza 1 x 2 = 2

b) Angecheza kiustadi angeshinda katika mchezo ule.Zozote 4 x ½ = 2

c) Wakati uliopita, hali ya kuendelea 1
Wakati uliopita,hali isiyodhihirka 1

d) i) Mbona hawawezi kulia wakiwa hapa/ (Kitumizi) 1
- Mbona hawawezi kulila(tunda / boga/nk) wakiwa hapa
ii) - Mbona hawawezi kula wakiwa hapa?
- Mbona hawawezi kulia wakiwa hapa 1
e) i) ngeli ya I - I
ii) Ya -Ya
iii) Li – Ya
iv) A – Wa

f) Kijidole (ii) Dole 2 x 1 = 2

g)Mahali
•Sehemu ya kitu
•‘Pamoja na’
•Kielezi namna / jinsi
•Kitumizi
•Swali Zozote 2 x 1 = 2 .Atunge sentensi

h)i) Shairi – kipozi 1
ii) Mgeni – kitondo 1

i)i) Nywewa 1
ii) Pewa 1
Tuza sentensi sahihi

j)– Kuonyesha neno lilitokatwa
-Kuonyesha mzizi wa neno
-Kugawa silabi
-Kuunganisha sentensi mbili 3 x 1 = 3

k)Chuma
i)Chuma mali
ii)Chuma machungwa
iii) Kitanda cha chuma Sentensi moja sahihi – alama 1 1
Jua
i) Jua linaloangaza angani
ii) Fahamu Sentensi moja sahihi – alama1

l) i) - Mlango ulikomelewa na Kiyondi alipovisikia vishindo. 1
ii) - Wachezaji walicheza mpira tu japo mvua ilinyesha sana alasiri hiyo 1
- Japo mvua ilinyesha sana alasiri hiyo, wachezaji walicheza mpira vizuri tu.

m)i) Ya masharti / vikwazo
ii) Ngeli ya ki – vi
iii) Vitenzi viwili / zaidi kwa wakati mmoja
iv) Kielezi namna ( Kiustadi,Kishujaa, kitoto,nk) 4 x 1 = 4

n) Kitenzi kuwa kivumishi 1 x 1 = 1

o) “Rudi darasani mrejelee madaftari yenu ya kumbukumbu na kuikosoa kazi hii” Mwalimu aliwaagiza wanafunzi.

p) Tembe ambayo niliimeza ilikuwa chungu. 4 x ½ = 2

q)i) Kutoa hewa mdomoni kwa nguvu 1 x 2 = 2
ii) Ujutia jambo / tendo / kujifunza 1 x 2 = 2

r)i) Malaika 1
ii) Hamali 1

4.ISIMU – JAMII
a)Lahaja – Tofauti katika matamshi, maumbo na matumizi ya maneno zitokanazo na tofauti za kimaeneo kwa lugha yenye asili moja.
-Husanifiwa na kupata hadhi ya kuwa lugha; K.M chimiini na Kingazija Kiswahili
-Yaweza kuandikwa: ndoo tulale, mato yaniuma.
Lafudhi- Matamshi ya mzungumzaji yatokanayo na athari za lugha yake ya kwanza,lugha jirani,maumbile au hadhi katika jamii.
-Hujitokeza kwanza kimatamshi na wala si kimaandishi:
Piga ugali (pika), utaguja lini? (utakuja),ndoa la mauti (doa) na kulanga kuku(kula)
2 x 2 = 4
b)Sifa za lugha ya misimu:
Misimu – maneno au semi ziibukazo mahali na zidumuzo kwa muda tu; mzee, kimwana,dot-com,kusota,kupiga ngeta n.k
i) hupendwa na kutumiwa kwa wingi
ii) huambatana na kitushi / tukio.
iii) hurahisisha mawasiliano / mazungumzo
iv) huzuka na kutoweka baada ya muda
v) huweza kuingizwa katika maandishi zozote 3 x 1 = 3

c)Sajili ya siasa
-Lugha yenye mvuto / ushawishi ari na mwamko
-Hubeba porojo na ukinzani
-Hudokeza ahadi na utendaji bora
-Hupumbaza na kunata
-Hulenga kundi / watu fulani zozote 3 x 1 = 3






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers