📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Nyamira-Usahihisho Wa Kiswahili Karatasi Ya Tatu  Question Paper

Nyamira-Usahihisho Wa Kiswahili Karatasi Ya Tatu  

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2009



NYAMIRA DISTRICT SCHOOLS JOINT EXAMINATIONS – 2009
102/3
KISWAHILI (FASIHI)
KARATASI LA TATU
MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA
1.SHAIRI
a)Majibu – shairi
-Baba naogopa
-Baba usituwe
-Baba! Chochote 1 x 2 = 2

b)i) Mtoto analalamika babake kuwazaa.
-Anaona aibu
-Anaogopa
ii) – Baba analalama kuzaliwa binti
- Anaona aibu; utamaduni na jamii kumkejeli 1 x 2 = 2

c)– Jumla ya beti 10
-Kila ubeti una mishororo mine
-Mishororo mitatu ya kwanza ina migao miwili.
- Kibwagizo kimezukwa 4 x 1 = 4

d) – Mume alalama / alalamika
- Mkewe kamzalia binti
- Bila wanawake maisha hayatakamilik 2 x 1 = 2

e) Tarbia- Mishororo minne kila ubeti
Msuko – Mshororo wa mwisho kila ubeti umesukwa
Kutaja 2 x 1 = 2
Maelezo 2 x 1 = 2

f)Ndugu zangu masikini njooni tutoroke ili mnishike mkono wangu kwa sababu miili yenu ni baridi.,mfano wa barafu. Baba ameangamiza; ameua. 4 x 1 = 4
2.
Kifo Kisimani- Kithaka wa Mberia
a)Tanya – Anakabiliana na askari kwa ujasiri
-Anamhimiza Mwelusi na Atega kutoroka
-Anamhudumia Mwelusi gerezani

b)Atega – Alimpelekea Mwelusi tupa
Anaendeleza harakati baada ya Mwelusi kushikwa
Anaongoza mapinduzi

c)Andua – Anamkabili Zigu kisimani
Anampelekea Mwelusi chakula

d)Nyalwe – Anamuonya Bokono dhidi ya utawala mbaya
Anawatetea wanyonge

e)Azena – Anaungana na Tanya katika mapambano
Anakashifu ukatili
Alikuwa jasiri kwa kutangulia kuingia katika majengo ya utawala.

f)Mama Agoro – Anatetea haki za watoto. Wowote 5 x 4 =20

3.a)i) –Kumbukumbu za Gege akilini
Alikuwa nyumbani kwao
Alikuwa akimkanya Mwelusi dhidi ya uchochezi
Matukio yanatokea baada ya kulizwa na mamake aende kumjulia nduguye (Mwelusi) hali 1 x4 = 4

b) Ubinafsi – Gege anashughulika na raha zake bila kumjali Mwelusi.
- Uzalendo – halisi
- Uzalendo – bandia
-Usaliti
-Ujinga
- Imani Bandia ya kidini
- Ukaragosi Yoyote 4 x ½ = 2

c) Mwelusi
- Mzalendo
- Mwanampinduzi
- Jasiri 3 x 1 = 3
Gege
•Mjinga
•Mbinafsi
•Mwenye tamaa
•Msaliti 3 x 1 = 3

ii) – Gege kumsaliti nduguye – ananyimwa zawadi ya Bi. Alida
•Askari II na III kuwadhulumu wafungwa - nao wanafunguliwa mashtaka.
•Bokono anawafanya mpango Mwelusi auliwe – naye anango’lewa mamlakani
•Bokono anawadhulumu wanabutangi- Hakuonewa huruma wakati wa Kung’olewa mamlakani.
•Bokono anamsaliti wanabutangi – naye anasalitiwa
•Batu anamdharau Mbutwe – Naye anadharauliwa mwishoni mwa kitabu
Kuhini 4 x 1 = 4
Kuhiniwa 4 x ½ = 4
Jumla = 8

4.Utengano wa kitabaka
-Matajiri kuishi liwazono na maskini kuishi madongo poromoka
Utengano wa kiafya / hali
•Masksudi kutengana na afya nzuri na kuishi hospitalini
•Maimuna kutennga na afya yake nzuri
•Kabi kutanganana mguu wake

Utengano wa kijamii / familia
•Maksudi kutengano na familia yake
•Musu kutengana na Kazija
•Maimuna kutengana ni familia yake
•Tamima kutengan na mumewe
•Musa kutengana na familia yake
•Mwanasururu kutenga na Maksuudi

Utengano wa maisha / uhai
•Kitoto cha Tamima kufa
•Maksuudi kufa
•Mwanasururu kufa

Utengano wa cheo / hadhi
- Maksuudi kufutwa kazi
Utengano wa majukumu
Maksuudi kujitenga na jukumu la kuwaleya na kutunza familia yake sababu inayomfanya Musa kuanza ukware na ulevi Zozote 4 x 5 = 20

5.a) – Mama Jeni ndiye anayezungumza.
- Yuko na Maimuna
- Anamrejelea Dora
- Dora ameandamana na mwanamume na anafunga mlango kuna kelele. 4 x 1 = 4

b) – Serikali imepiga marufuku kufanya biashara ya ukahaba.
•Wote wanaofanya biashara hii wanafanya kwa siri.
•Mama Jeni anaona kuwa wakigunduliwa na serikali biashara yake itaporomoka na yeye mwenyewe ataingia hatarini.2 x 2 = 4

c)– Wamejiingiza utumwani kibiashara
- Biti sururu amefungua kilabu
- Mama Jeni anachangia kuangamia kwa Maimuna; amechochewa 3 x 4 = 12

6.i) Uteuzi wa Moyoni
•Mamake Zena anamhimiza avumilie mateso na mapigo ya bure katika ndoa
•Wanawake wanamcheka kuwa ameshindwa kuzaa
•Wanamkeji anapowaomba kura za eneo bunge lake.
•Wanawake wanampigia mwanaume kura za mbunge na kumnyima Zena.
ii) Ngome ya Nafsi
•Mamake Naseko anajua mipango ya ndoa ya kisiri ni lazima lakini hachukui hatua yoyote kumwambia
•Wanawake wanamcheka anapolia akipelekwa kwa mume kwa nguvu.
•Wanawake ndio wanampaka mafuta Naseko anapofika nyumbani kwa – Mzee sakaja.
iii) Kachukua Hatua Nyingine
- Sakaja anaacha kazi kwa ushawishi mwepesi wa mumewe, Mvita. Zozote 5 x 4 = 20

7.a) – Kuulizwa kutoa mafunzo ya hadithi
•Kuimba
•Kuchekeshwa
•Kuulizwa maswali yanayoilenga hadithi
•Kukamilisha sentensi za mdokezo 2 x 4 = 8

b) – Hutumia lugha elezi
- Hufunza maadili fulani katika jamii
- Huwa na mwanzo na vimalizio maalum
- Hubeba utamaduni wa jamii husika. 2 x 4 = 8






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers