Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Lswa 105:Historia Ya Kiswahili Question Paper

Lswa 105:Historia Ya Kiswahili 

Course:Elimu

Institution: Kenya Methodist University question papers

Exam Year:2010



FACULTY : ARTS & SOCIAL SCIENCES

DEPARTMENT : EDUCATION AND COUNSELLING

TIME : 2 HOURS

MAAGIZO Jibu maswali MATATU angalau moja kutoka kila sehemu. Swali la KWANZA ni la lazima


swali 1

Asili ya waswahili na lugha yao in swala nyeti mno. Jadili (Alama24)


Swali 2

Orodhesha tume za elimu nyakati za ukoloni huku ukibainisha mchango wazo katika kukikuza ama kukidunisha Kiswahili (Alama18)

Swali 3

Orodhesha tume za elimu nyakati za ukoloni huku ukibainisha mchango wazo katika kukikuza ama kukidunisha Kiswahili (Alama18)


Swali 4

a) Eleza maana ya usanifishaji (Alama1)

b) Taja lahaja tatu zilizopendekezwa kusanifishwa huku ukionyesha ni lahka ipi iliyoishia kusanifishwa (Alama4)

c) Onyesha sababu zozote tano zilizoipa lahaja teule uzito wa kusanifishwa dhidi ya lahaja zingine za Kiswahili (Alama10)

d) Tathmini hoja zozote tatu zozote tatu zilitotumiwa kupinga Kiswahili sanifu na wenyeji (Alama3)


Swali 5

Uimarishaji wa Kiswahili unahitaji mchango wa kila mmoja kwa pamoja. Fafanua mielekeo hasi yoyote sita, dhidi ya Kiswahili inayosababisha kuzorota kwake (Alama18)


Swali 6

Toa sababu zozote sita zinazoipa lugha ya Kiswahili nafasi ya kati katika kutekeleza madhumuni ya Rajua 2030 nchini Kenya (Alama18






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers