Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Geography Special Subject Methods(Educ 329)  Question Paper

Geography Special Subject Methods(Educ 329)  

Course:Education

Institution: Kenya Methodist University question papers

Exam Year:2012



MUDA : SAA MBILI


Maagizo:
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.
Swali la Kwanza
Dokeza malengo mawili ya kufunza Kiswahili katika shule za upili.
(Al. 2)
Eleza sababu mbili za mwalimu kuwa na maazimio ya kazi.
(Al. 2)
Fafanua sifa mbili za shabaha bora ya kufunzia somo la Kiswahili.
(Al. 4)
Bainisha njia zozote tatu ambazo unapaswa kutumia kufanikisha lugha ya wanafunzi katika malumbano.
(Al. 6)
Dhihirisha mambo sita ya kuimarisha wanafunzi katika stadi ya kusoma.
(Al. 6)

Swali la Pili
Tayarisha maazimio ya kazi ya wiki moja kwa kidato cha kwanza. (Al. 20)

Swali la Tatu
Fafanua sababu tano za mwalimu wa Kiswahili kujaza na kuhifadhi rekodi endelezi ya kazi.
(Al. 10)
Eleza njia tano zinazofaa kufundishia funzo la ufahamu.
(Al. 10)

Swali la Nne
Mwalimu wa Kiswahili anapaswa kuwa makini katika uteuzi wa nyenzo za kufunzia. Dhihirisha ukweli huu kwa hoja tano.
(Al. 10)
Eleza hoja tano kubainisha umuhimu wa kutahini na kutathimini wanafunzi katika somo la Kiswahili.
(Al. 10)

Swali la Tano
Ihakiki njia ya mijadala kama mbinu ya kufunzia mafunzo ya Kiswahili Sekondari. (Al. 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers