Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Cks 302: Kiswahili Syntax Question Paper

Cks 302: Kiswahili Syntax 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2015



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE
DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)

CKS 302: KISWAHILI SYNTAX


DATE: 18TH AUGUST, 2016 TIME: 11.00 –1.00 PM

MAAGIZO

Jibu maswali matatu,swali la kwanzani la lazima.

1. a) Eleza dhana zifuatazo:

(i) Sintaksia.

(ii) Sarufi.

(iii)Kiimakiarifu.

(iv) Shamirisho.

(v) Sentensi. (alama 10)

b) Fafanua sifa bainifu za sintaksia kisha uoneshe upeo wake. (alama 10)


2. Huku ukitoa mifano, eleza mbinu zifuatazo za uundaji wa sentensi za Kiswahili.

a) Udondoshaji.

b) Uchopekaji.

c) Uongezaji.

d) Upanguaji. (alama 20)


3. a) Ukizingatia muundo, taja na kutolea mifano aina tatu za sentensi. (alama 6)

b) Tumia vielelezo matawi kuchanganua sentensi hizi:

(i) Vitabu anavyovisoma ni vyangu.

(ii) Mvulana mtanashati sana ameingia nyumba nzuri taratibu.

(iii)Baba anapika ugali na mama anasoma gazeti. (alama 14)



4. a) Tumia kigezo cha kisintaksia kuainisha ngeli za nomino za Kiswahili.

(alama 12)

b) Eleza changamoto za uainishaji ngeli za nomino kisintaksia. (alama 8)


5. Huku ukitoa mifano, bainisha kategoriat nane za maneno ya Kiswahili.

(alama 20)


6. a) Eleza dhana ya kirai kama inavyotumiwa katika sintaksia.

(alama 2)

b) Taja na kutolea mifano aina sita za virai. (alama 18)






































More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers