Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 301: Phonetics In Kiswahili Question Paper

Aki 301: Phonetics In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
3RD YEAR 1ST SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
MAIN CAMPUS
COURSE CODE: AKI 301
COURSE TITLE: PHONETICS IN KISWAHILI
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER,2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.




SWALI LA LAZIMA
a) Eleza maana ya fonetiki. (Alama 5)
b) Pambanua matawi matatu makuu ya fonetiki. (Alama 15)
c) Eleza umuhimu na utendakazi wa ala za matamshi kumi. (Alama 10)


SWALI LA PILI
Kwa kutoa mifano, fafanua dhana zifuatazo:
a) Alasauti (Alama 4)
b) Mkondo wa hewa (Alama 4)
c) Foni (Alama 4)
d) Vokali ndefu (Alama 4)
e) Unukuzi makinifu (Alama 4)


SWALI LA TATU
Fafanua mifumo ya hewa katika utoaji sauti katika chemba ya koo na chemba ya kongomeo. (Alama 20)


SWALI LA NNE
a) Fafanua misingi MITANO ya kubainisha konsonanti. (Alama 10)
b) Pambanua na ueleze aina kuu TANO za konsonanti. (Alama 10)


SWALI LA TANO
a) Fafanua maana ya irabu. (Alama 2)
b) Taja na ueleze misingi mikuu MITATU ya kubainisha irabu kisha uainishe irabu za Kiswahili kwa kutumia misingi hiyo. (Alama 18)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers