Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks202: Language Skills In Kiswahili 2 Question Paper

Aks202: Language Skills In Kiswahili 2 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2012



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2011/2012
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS202: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI2
DATE: Tuesday, 3rd April 2012 Time 8.00am-10.00am
MAAGIZO
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima

1. Fafanua vipengele muhimu vya kuzingatiwa katika uandishi wa makala ya muhula

2. Eleza athari za mawasiliano ya kiteknolojia kwa lugha sanifu ya kiswahili.
3. Pendekeza mambo yoyote matano muhimu ya kuzingatiwa katika kuimarisha stadi ya usomaji miongoni mwa wanafunzi wa Lugha ya Kiswahili.
4. Jadili maendeleo ya taaluma ya mawasiliano tangu jadi hadi sasa.
5. "Taaluma ya tafsiri imechangia kaitka kukuza lugha na fasihi ya kiswahili". Jadili.
6. Waweru kaka John alichapisha kitabu kiitwacho "kaka Ateta Na Kakake" mwaka wa 2010 kupitia kwa shirika la uchapishaji la Oxford University Press lililoko mjini Nairobi. Kakake Gakuo kaka Joseph alihamasika na kuchapisha kitabu kiitwacho "Kakake Amliwaza Kaka" mwaka uliofuatia, shirika lilo hilo la uchapishaji.
Mwaka wa 2012 ndugu hao wawili("Makaka)kwa pamoja walichapisha kitabu kimoja kupitia shirika lilo hilo walichokiita "Kaka na Kaka ("Makaka")" Wapatana na kisha wakachapisha Kamusi ya Visawe ya Karne ya 21.
swali.
Teua mtindo mmoja wa kuandika marejeleo na kisha uutumie kuandika marejeleo ya machapisho yote manne ya ndugu ("Makaka")hao.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers