Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks100:Introduction Tothe Study Of Languages Question Paper

Aks100:Introduction Tothe Study Of Languages 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2009/2010
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS100:INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGES
DATE MONDAY 7TH MAY 2010 TIME 8:00-10:00AM
MAAGIZO;
JIBU MASWALI MATATU SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA
1.Huku ukitoa mifano eleza viwango vya taaluma ya isimu.(ala4)
2. eleza sifa zinazo bainisha usayansi wa isimu.(ala3)
3a)kwa kifupi eleza maana ya lugha.(ala2)
(b)Bainisha mchango wa nadharia ya kisayansi kuhusiana na asili ya lugha ya binadamu.(ala4)
4.eleza sifa bia zozote tano za lugha.(ala10)
5.Fafanua matawi yafuatayo ya isimu.
a)isimu jumulifu
b)isimu elezi (ala5)
c)isimu elekezi
d)isimu matumizi
e)simu historia
6.Lahaja ni nini?
b0nyesha vipengele vinavyoitambulisha lahaja na lugha.(ala2)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers