Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

102/1 Kiswahili Karatasi Ya Kwanza Question Paper

102/1 Kiswahili Karatasi Ya Kwanza 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2016






102/1


KISWAHILI
Karatasi ya Kwanza
(INSHA)
Julai /Agosti 2016

Muda: Saa 1¾



MTIHANI WA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA WESTLANDS
Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya
Kidato cha Nne
KISWAHILI
Karatasi - 102/1
(INSHA)

Julai / Agosti 2016
Muda : Saa 1¾

MAAGIZO

Andika insha mbili.
Insha ya kwanza ni ya lazima.
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
Kila insha isipungue maneno 400.
Kila insha ina alama 20.
Kila insha iandikwe kwa lugha sanifu ya Kiswahili.
Karatasi hii ina karatasi 2 zilizopigwa chapa.
Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.


1. Swali la lazima.
Andika barua kwa rafiki yako aliye nchi nyingine kuhusu hofu iliyozushwa na suala la ugaidi nchini na jinsi ambavyo lingeweza kukabiliwa.

2. Jadili jinsi unywaji wa pombe kupindukia umechangia majonzi mengi nchini.

3. Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali:
Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwegu.

4. Tunga kisa kinachomalizika kwa maneno yafuatayo:

. . . . tulishangazwa na jinsi watu tofauti wanavyoweza kuletwa pamoja kwa jambo kama hili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers