Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kisw 311: Mbinu Za Utafiti Katika Kiswahili Question Paper

Kisw 311: Mbinu Za Utafiti Katika Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Egerton University question papers

Exam Year:2016



EGERTON UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
REGULAR- NJORO CAMPUS
FIRST SEMESTER, 2016/2017 ACADEMIC YEAR
THIRD YEAR EXAMINATION FOR THE DEGREE OF EDUCATION ARTS AND
EDUCATION ARTS
KISW 311: MBINU ZA UTAFITI KATIKA KISWAHILI
STREAM: BA & BED (ARTS) TIME: 2 HOURS
EXAMINATION SESSION: NOVEMBER, 15 2016 YEAR: 2016

MAAGIZO
Jibu Maswali yote kwenye karata;si rasmi ya mjibu
(ii) Soma maelezo ya utafiti wa kidhanifu ufuatao na uyatumie kujibu maswali yanayofuatia.
Kumedaiwa na wengi kwamba matokea katika mitihani ya lugha hutegemea sana jinsia ya mtahiniwa. Umepania kuthibitisha dai hili kwa kufanya utafiti nyanjani.
MASWALI
I Buni mada mwafaka kwa Litafiti huu. (Alama 2)
2. Andaa muundo utafiti utakaokuwezesha kupata data tegemewa kwa utafiti huu. Kwa
kila hatua eleza kwa tafšili kile utakachokifanya. (Alama 8)
3. Ukitumia hoja tano, eleza kwa nini uandae muundo huo wa utafiti. (Alama 5)

"Transforming Lives through Quality Education " Egerton University is ISO 9001 :2008 Certified
Page 1 of 2






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers