Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Cks 202: Fonolojia Na Mofofonolojia Question Paper

Cks 202: Fonolojia Na Mofofonolojia 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2015



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
CKS 202: FONOLOJIA NA MOFOFONOLOJIA
DATE: 3RD AUGUST, 2016 TIME: 8.30 –10.30 AM

MAAGIZO: Jibu maswali matatu, swali la kwanza ni la lazima.

1. (i) Tofautisha dhana zifuatazo: (Alama20)

(a) Mofu na viambishi.

(b) uambishaji na unyambuaji.

(c) Akronimu na uhulutishaji.

(d) Lugha ambishi na lugha tenganishi.


(ii) Kwa kutumia mifano kutoka katika lugha ya Kiswahili, eleza kategoria tano za maneno

ya Kiswahili. (Alama 10)


2 Eleza kwa kutumia mifano kutoka katika lugha ya Kiswahili kanuni nne za kutambua mofimu. (Alama 20)


3. Mofolojia na fonolojia ni viwango viwili vya isimu vinavyoingiliana. Jadili.

(Alama 20)

4. Ainisha ngeli za nomino za Kiswahili kimofolojia na kisha ueleza ubora wa uainishaji huu. (Alama 20)

5. Kwa kutumia mifano, dhihirisha maumbo mbalimbali ya mofu.

(Alama 20)

6. Onesha uhusiano uliopo baina ya mofu, mofimu na alomofu. (Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers