Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 204: Kiswahili Poetry Question Paper

Aki 204: Kiswahili Poetry 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
2ND YEAR 2ND SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
NAMBALE CAMPUS
COURSE CODE: AKI 204
COURSE TITLE: KISWAHILI POETRY
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER,2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.




SWALI LA LAZIMA
a) Fasili dhana ya ‘ushairi’. (Alama 10)
b) Fafanua asili ya ushairi wa Kiswahili kwa mujibu wa wataalamu mbalimbali. Wangapi? (Alama 10)
c) Eleza dhima ya ushairi wa Kiswahili katika jamii. (Alama 10)


SWALI LA PILI
Kwa kutoa mifano, eleza namna vipengele vifuatavyo vilivyotumika katika diwani ya Kichomi (Kezilahabi, 1974). (Alama 20)
a) Mpangilio wa maneno
b) Uteuzi wa maneno
c) Taswira
d) Takriri
e) Ridhimu (Wizani)


SWALI LA TATU
Fafanua sababu zilizochangia mgogoro katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili. (Alama 20)


SWALI LA NNE
Jadili maudhui yoyote matano yanavyojitokeza katika Utenzi waMwanakupona. (Alama 20)


SWALI LA TANO
Jadili jinsi vipengele vya fani vifuatavyo vinavyojitokeza katika Malenga wa Bara (Mulokozi, & Kahigi, 1995).
a) Majigambo (Alama 5)
b) Methali na Nahau (Alama 5)
c) Taswira ya safari (Alama 5)
d) Ishara (Alama 5)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers