Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Jmc 312: Mofologia Na Sintaksia Ya Kiswahili Question Paper

Jmc 312: Mofologia Na Sintaksia Ya Kiswahili 

Course:Bachelor Of Journalism And Mass Communication

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2009



Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
THIRD YEAR SECOND SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
COURSE CODE: JMC 312
COURSE TITLE: MOFOLOJIA NA SINTAKSIA YA KISWAHILI

DATE: 28th April 2009 TIME: 9.00 a.m. – 12.00 noon

MAAGIZO
Jibu maswali manne kwa ujumla
Swali la kwanza ni la lazima
Muda: masaa matatu

Page 2 of 2

1. Eleza maana na nafasi ya mofolojia katika uchunguzi wa lugha.(Alama 25)

2. Ukitoa mifano kutoka lugha ya Kiswahili, eleza kikamilifu dhana
zifuatazo:
a) Mofu
b) Mofimu
c) Alomofu (Alama 15)

3. Jadili matatizo yaliyopo katika uainishaji wa kimofolojia wa ngeli za
nomino za Kiswahili.(Alama 15)

4. Ukitoa mifano kutoka lugha ya Kiswahili, eleza kikamilifu aina zifuatazo
za sentesi:
a) sentensi sahili
b) Sentensi ambatani
c) Sentensi changamani (Alama 15)

5. Andika sheria miundo virai za sentensi zifuatazo kisha uchore vielelezo
vya matawi kuziwakilisha:
a) Msichana mrembo alipika sima
b) Mary wao aliimba wimbo mzuri
c) Susan alikwenda Kisumu kisha akaogelea ziwa Victoria( Alama 15)

6. Taja na ueleze mofu na mofimu zilizomo kwenye maneno yafuatayo:
a) Anampenda
b) Tuliwaalika
c) Msicheze(Alama 15)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers