📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Paper 3 Question Paper

Kiswahili Paper 3 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2008



ST. JOSEPH’S BOYS HIGH SCHOOL
KITALE

KARATASI YA TATU

FASIHI

JULAI/AGOSTI

MUDA SAA MBILI NA NUSU.

JINA…………………………………………..NAMBARI YAKO…………….


MAAGIZO

• Jibu maswali manne pekee
• Swali la kwanza ni la lazima.
• Maswali mengine yachaguliwe kutoka sehemu nne zilizobaki yaai (tamthilia riwaya, a fasihi simulizi)
• Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja


1. HADITHI FUPI: mayai waziri wa maradhi.

Hadithi ya mayai ni waziri wa maradhi ni kielezo cha uozo miongoni mwa viongozi. Jadili. (alama 10)
(b) Jadili maana ya ishara zifuatazo kama zilivyotumika katika hadithi (alama 10)
i) Milio ya bundi
ii) Mzuka wa ukombozi
iii)Alama (X)
iv) Vitabu vingi vizito
v) Watoto kumi wakondefu

Riwaya

Z Buriani mwisho wa kosa
Jibu swali la pili au la tatu

2.“ Ninaona kama sisi ndio wazee wawili tu kama mahali hapa…….
Naam,inayonyesha hivyo Je, wewe umekuja kwa sababu ya mwanao?”
a) Eleza muktadha wa dondoo (alama 4)
b)Eleza hatima ya motto wa mhusika wa pili anayezungumziwa. (alama 16)
3. Jumuia ya mwisho ya kosa imeonyesha umuhimu wa utengamano.Fafanua kwa mifano mwafaka kutoka kwa riwaya. (alama 20)

Tamthilia

Kithaka Wamberia Kifo Kisimani

4.Jibu swali la nne au la tano

“ Mlilifanya nini jiwe?
a)Eleza muktadha wa dondoo hili.
b)Eleza yaliyolikumba jiwe hilo
c)Neno jiwelimetumika kijazanda.
d) Taja na ueleze jazanda zozote zingine tatau zilizotumika katika tamthilia
5. Eleza jinsi Bonoko alivyoukakamua mkono wake katika tamthilia ya Kifo Kisimani
( alama 20)
Fasihi simulizi

6 (a)Taja mifano mine ya tanzu fupi katika fasihi simulizi. (Alama 4)
b)Fafanua sifa zozote tatu za mawaidha katika fasihi simulizi (alama 3)
c) Eleza umuhimu tatu wa ngomezi (alama 2)
d) Eleza istilahi za fasihi simulizi (alama 2)
i) Maghani
ii) Mapisi
iii) Misimu/simo



e) Fafanua sifa zozote tatu ambazo mtambaji wa hadithi anastahili kuwa nazo. (alama 3)
f) Taja methali zozote mbili zilizo na dhana ya tashibiha. (alama 2)
g) Eleza sifa zozote mbili za nyumba zinazotofautisha nyimbo na ushauri simulizi
(alama 2)
7. Ushairi

Soma mashairi ya A na B kasha ujibu maswala.

A
Mtu ni afya yake, ndiyo uzima wa mtu Mtu ni mwenye nadhari, apimaye kula kitu
Mtu ni kuwa na chake,hakuwi ela kwa kitu Ni moyo hariri, mwenye imani na watu
Mtu ni bahati yake, kupendekeza kwa watu Mtu ni alo na ari,shika sana mwana kwetu
Mtu si fakhari kwako, kuitwa nyama ya Mtu si yake fakhari, kuitwa nyama ya
Mwitu. Mwitu

Mtu ni ulimi wake, kunena vyema na watu Mtu ni mkono wazi,mtasadaku na watu
Mtu ni kijungu chake, kuweka mawe matatu Mtu mwenye maozi kuoneya kula kitu
Mtu ni mwenda lake,mtoshawa na kula kitu Mtu ni alo,tulizo panda utukutu
Mtu si jambo pendezi, kuitwa nyama ya
Mwitu
Mtu si uzuri kwake, kuitwa mnyama wa Mtu ni mwenye ahadi, ndio ungwana na
mwitu utu

Mtu ni alo baridi, mbembeleza wa watu Mtu si uzuri sana, kuitwa myama wa mwitu
Mtu ni moyo asadi, asoonewa na mtu Mtu ni mtenda njema, atiiye mola wetu
Mtu si yake ifadi,kuitw nyama wa mwitu Mtu ni mbele na nyuma, pima sana mwana
Kwetu

Mtu niliyoyanena, pima sana ewe mtu Mtu natiye khatima, fafanua kula kitu
Mtu sikujua tukana,kukirihi nyoyo watu Mtu si yake hisima, kuitwa nyama wa. Mtu nakupa maana,wende nyendo za kiutu mwitu

B

MTU HACHAGUI KAZI
Naamba kazi ni kazi,vyovyote vile iwavyo Si laiki kubukudhi, hakuna iliyo duni
Madau si ubazazi, kwa mwanadamu ndivyo Hayo makubwa maradhi,na tena uhayawani

Kushona na upagazi, pia vile vyenginevyo Kazi zote zina hadhi,hivyo tusibagueni
Kazi ni kitu azizi, wala vyenginevyo sivyo Inafaa tuziridhi,tusitende kwa yakini
Mtu hachagui kazi. Mtu hachagui kazi

Mtu hadharau kazi,ile ahisiyo duni Ni wajibu kuipenda, na kuikiri moyoni
Ayazule machozi,walilia jambo gani Na kwa dhati kuitenda,kwa juhudi na makini
Ukulima na ukwezi, na uvivu baharini Matatizo huyashinda, na uvivu kuuhuni
Hizi nazo njema kazi,yafaa uzibaini Hapo mtu atashinda, na magumu kumhuni
Mtu hachagui kazi Mtu hachagui kazi.



MASWALI

a) Lipe shairi la A Kichwa mwafaka (Alama moja)

b) Kwa mifano mwafaka fafanua habari katika shairi la A na B (alama 4)

c) Toa sababu za mwandishi kuchagua “kazi” kama kichwa cha shairi la B (alama 1)

d) Mtunzi alikuwa ujumbe gani katika mashairi haya? (alama 4)

e) Andika ubeti wa pili wa shairi A katika lugha nathari (alama 4)

f) Eleza muundo wa sharti la B (alama 4)

g Eleza maana ya maneno haya kama yalivyo tumika katika mashairi haya (alama 2)

i) Nadhari

ii) Ubabazi






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers