Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks 101:Language Skills In Kiswahili Question Paper

Aks 101:Language Skills In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2012



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2012/2013
FIRST SEMESTER FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 101 : LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI
DATE:MONDAY,10TH DECEMBER 2012 TIME 8;00-10;00 am
MAAGIZO;Jibu maswali MATATATU. swali la KWANZA ni la LAZIMA.

Q1(a).Eleza maana ya lugha.(alama 4)
(b)Fafanua sifa mbalimbali za lugha.( alama 22)
Q2.Eleza Masharti yoyote MATANO ya mazungumzo na uonyeshe jinsi yanavyoathiri mawasiliano.( alama 22 )
Q3.Fafanua vikwazo VITANO vinavyo tatiza mchakato wa mawasiliano na ueleze jisi ya kuvitatua vikwazo hivyo.(alama 22)
Q4.Kwa kutuoa mifano mwafaka eleza sifa zozote za sajili ya sheria.(alama 22)
Q5.(a)Fafanua maana na umuhimi wa uakifishaji.(alama 10)
(b)Kwa kutoa mifano eleza matumizi ya alama mbali mbali za uakifishaji.;
(i)kituo
(ii)paradesi ( alama 12)
(iii)Ritifaa
Q6(a). Fafanua aina tatu za insha.(alama 6)
(b)Bainisha mambo muhimu unayohitaji kuzingatia katika uandishi wa insha. (alama16)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers