Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza jinsi mdokezo ulivyotumika katika samaki wa nchi za joto

      

Eleza jinsi mdokezo ulivyotumika katika samaki wa nchi za joto.

  

Answers


KELVIN
? Mwiba wa kujidunga… chochote kingetokea akitolewa mimba na asingemlilia au kumlaumu yeyote.
? Fikra zilinipaa kuhusu matokeo ya uovu huu; kuwa tasa… labda kuwa muuaji… ahh… kumkosea Mungu… pengine hata kufa-madhara ya uavyaji mimba.
? Lakini ni…nina jambo nataka kukwambia-Christine -Peter anapomwambia hana nafasi ya kumuona wakati wafanya kazi wanapakia mizigo.
? Angalia hapa… Peter akimwabia jagtit ahakikishe noti ni bandia.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:34


Next: Taswira inajitokeza vipi katika samaki wa nchi za joto
Previous: Onyesha matumizi ya methali na taharuki katika samaki wa nchi za joto

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions