Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Onyesha matumizi ya balagha katika hadithi fupi samaki wa nchi za joto

      

Onyesha matumizi ya balagha katika hadithi fupi samaki wa nchi za joto.

  

Answers


KELVIN
? Mbona tusijipatie kinywaji-Zac.
? Ningemwambiaje Peter akinipigia simu?-Baada ya kuavya mimba.
? Mimi? Kwa nini?- Christine Zac anapomwambia Peter alitaka wamtembelee Tankhill-kujifanya hataki ilhali anataka.
? Je, Ni kweli Peter alinitaka?-Christine. kujiuliza kimoyomoyo.
? Kumbe alikuwa mzungu wa tabaka la chini?

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:37


Next: Onyesha matumizi ya methali na taharuki katika samaki wa nchi za joto
Previous: Jadili mbinu tano za lugha zilizotumika na mwandishi katika hadithi ya samaki wa nchi za joto

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions