Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks202:Language Skills In Kiswahili Ii Question Paper

Aks202:Language Skills In Kiswahili Ii 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2013



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2012/2013
SECOND SEMESTER FOR THE DEGREE BACHELOR OF ARTS
AKS:202:LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI II
DATE:Tuesday 2nd April 2013 TIME 8:00-10:00pm

MAAGIZO;JIBU MASWALI MATATU. SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA.


1.Eleza umuhimu wa jalada katika uandishi wa insha za kiakademia
b)Andaa mfano faafu wa jalada unaokidhi maelezo ya "a" hapo juu( alama24)


2Fafanua mchango hasi wa mawasiliano ya kiteknolojia kwa lugha sanifu ya kiswahili.(alama23)


3)Stadi ya usomi ni muhimu kwa kukuza umahiri katika lugha.Jadili kauli hii huku ukieleza mambo muhimu ya kuzingatia katika kuimarisha stadi ya usomi miongoni mwa wanafunzi wa kiswahili(alama 23)


4)Tathmini manufaa ya tafsiri katika lugha na fasihi ya kiswahili(alam23)


5)Matumizi ya tanbihi ni muhimu katika uandishi rasmi.Jadili huku ukifafanua mitindo mitatu mwafaka ya kuzingatiwa katika uandishi wa tanbihi(alama 23)


6)Taja na ufafanue sehemu zozote tano muhimu za pendekezo la utafiti wa kiakademia(alama 23)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers