Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Matungu District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Matungu District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
JULAI /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni mwenyekiti wa vijana kinachopambana na mihadarati katika kaunti yako.
Umeulizwa kuandika ripoti kwa Gavana kuhusu mafanikio ambayo chama chako
kimepata na mikakati uliyopanga inayostahili ufadhili.
2. Eleza hatua ambazo serikali yako inaweza kuchukua ili kupunguza gharama ya
maisha.
3. Bamba ni la waume, hakuna bamba la mume.
4. Teknolojia ya mawasiliano imekuletea faraja na dhiki maishani mwako. Jadili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers