Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Masinga District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Masinga District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



JINA: .......................................................................... NAMBA YAKO :...................................
SHULE …………….................................................... TAREHE :...............................................
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1¾
TATHMINI LA PAMOJA, WILAYA YA MASINGA - 2011
Cheti Cha Kuhitimu Masomo ya Sekondari Kenya (K.C.S.E)
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO
(i) Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
(ii) Kisha chagua insha nyingine moja kutoka hizo zilizobakia.
(iii) Kila insha isipungue maneno mia nne (400)
(iv) Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa mbili. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa
na kuwa maswali yote yamo.
1. Insha ya lazima (Alama 20)
Kuzorota kwa nidhamu ya wanafunzi katika shule ya upili ya Mramba, kumemlazimu
mkuu wa wilaya hiyo ya Mramba kuteua kamati ili kuchunguza kuhusu utovu wa
nidhamu. Wewe ulikuwa mmoja wa kamati hii na ulipewa jukumu la kuandika ripoti ya
matokeo. Andika ripoti hiyo.
2. Mpango wa elimu bila malipo nchini Kenya umefaulu ingawa umekumbwa na matatizo.
Fafanua. (Alama 20)
3. Usipoziba ufa utajenga ukuta. (Alama 20)
4. Andika insha itakayomalizikia kwa:- (Alama 20)
……..nilipojitazama katika kioo, nilijidharau kwa aibu niliyojipa. Niliapa kutorudia
kitendo hicho maishani mwangu.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers