Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nzambani District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Nzambani District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



JINA: .......................................................................... NAMBA YAKO :...................................
SHULE …………….................................................... TAREHE :...............................................
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1¾
TATHMINI LA PAMOJA, WILAYA YA NZAMBANI - 2011
Cheti Cha Kuhitimu Masomo ya Sekondari Kenya (K.C.S.E)
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO
(i) Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
(ii) Kisha chagua insha nyingine moja kutoka hizo zilizobakia.
(iii) Kila insha isipungue maneno mia nne (400)
(iv) Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa mbili. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa
na kuwa maswali yote yamo.
1. Andika barua ya kuomba kazi ya muda huku ukisuburi
matokeo ya mtihani wa kidato cha nne.
(Alama 20)
2. Ufisadi ni tisho kubwa kwa ukuaji wa uchumi wa
mataifa ya kiafrika. Eleza.
(Alama 20)
3. Kipya kinyemi ingawa kidonda.
(Alama 20)
4. Mtoto mvulana amesahauliwa katika jamii. Jadili.
(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers