Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Regular University Examinations Question Paper

Regular University Examinations 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Moi University question papers

Exam Year:2013



1.a Taja vitanzu vinne vyovyote katika semi. Eleza sifa za kila utanzu ulioutaja b. Riwaya ni nini? Taja aina NNE zozote za riwaya kwa kutolea mifano madhubuti, jadili historia na maendeleo ya riwaya ya Kiswahili 2a. Unaelewa nini kuhusu mgogoro wa ushairi? b.Angazia kwa kina historia na maendeleo ya ushairi wa Kiswahili katika vipindi mbalimbali 3a. Fafanua kwa ufasaha maana ya hadithi fupi Eleza sifa zozote TANO za hadithi fupi b. Kwa nini hadithi fupi haina historia ndefu katika fasihi ya Kiswahili? 4.Jadili huku ukitoa ithibati, vipengelevifuatavyo vya uchambuzi na uchanganuzi wa fasihi. Wahusika, Ploti, Maudhuia, Fani 5. Kwa kurejelea matini maalum za fasihi ya Kiswahili, jadili maswala yanayoagiziwa katika karne ya 21 6. Kwa kurejelea AMA utenzi wa MWANA KUPONA AU utenzi wa AL-INKISHAFI, jadili maudhui yoyote MATANO.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers