Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Introduction To Linguistic Theory Question Paper

Introduction To Linguistic Theory 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2013



JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
UNIVERSITY EXAMINATION 2013
1ST YEAR 2ND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION ARTS WITH IT (KISII)
COURSE CODE: AKI 104
TITLE: INTRODUCTION TO LINGUISTIC THEORY
DATE: TIME: DURATION: 2 HOURS
INSTRUCTIONS
1. This paper contains FIVE (5) questions
2. Answer question 1 (Compulsory) and ANY other 2 Questions
3. Write all answers in the booklet provided

1a) Eleza kwa kina maana ya muundo wa lugha (Alama 10)

b) Eleza huku ukitoa mifano maana ya dhana zifuatazo za lugha kwa mujibu wa
Ferdinard de Saussure.

i)Langage
ii) Langue
iii) Parole
(alama 20)

2) Fafanua huku ukitoa mifano mitano ya miundo tofauti ya silabi za Kiswahili kwa
mujibu wa Mgullu (1999) (alama 20)

3) Huku maana huku ukitoa mifano MINNE eleza maana ya dhana zifuatazo za kisarufi:

i) Kipozi
ii) Kitondo
iii) Kifaa/ala
iv) Kiima
v) Kiarifu
(alama 20)

3) Jadili dhana na aina mbali mbali za dhamira katika sentensi ya Kiswahili (alama 20)

5)Fafanua maana, sifa na mihimili mikuu ya:
i) Sarufi mapokeo
ii) Sarufi msonge
iii)Sarufi miundo
iv)Sarufi zalishi
(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers