Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Cks 104: Modern Development Of Kiswahili Question Paper

Cks 104: Modern Development Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2015



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE
DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)

CKS 104: MODERN DEVELOPMENT OF KISWAHILI
DATE: 18TH AUGUST, 2016 TIME: 2.00 –4.00 PM

MAAGIZO

JIBU MASWALI MATATU PEKEE, SWALI LA KWANZA NI LAZIMA

1. (a) Fafanua dhana ya usanifishaji wa lugha. (alama 4)

(b) Bainisha hatua kuu za usanifishaji wa lugha kwa mujibu wa Haugen (alama 8)

(c) Eleza mambo yaliyochochea usanifishaji wa Kiswahili kabla ya uhuru. (alama 8)

(d) Jadili sababu zilizopelekea kuchaguliwa kwa kiunguja badala ya kimvita

(alama 10)


2. Eleza dhima, changamoto na ufanisi wa kamati ya Kiswahili Afrika Mashariki katika usanifishaji wa Kiswahili. (alama 20)



3. Kiswahili kimeenea zaidi nchini Tanzania kuliko mataifa mengine ya Afrika Mashariki.

Fafanua.(alama 20)



4.Tume za elimu nchini Kenya zilichangia pakubwa ukuaji wa Kiswahili. (alama 20)



5.Jadili mbinu mbalimbali za uundaji wa msamiati pamoja na changamoto zake.

(alam 14)

6.Eleza nafasi ya Kiswahili kimataifa. (alama 20)




























































More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers