Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Trans-Nzoia West District Mock-Kiswahili Paper 1 Question Paper

Trans-Nzoia West District Mock-Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2008



Jina ………………………………………………………… Namba Yako ……………………
Shule ……………………………………………………….
102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Julai / Agosti 2008
MUDA: Saa 1 ¾
MTIHANI WA MAJARIBIO (MWIGO) WILAYA YA TRANS-NZOIA MAGHARIBI - 2008
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI-KCSE
102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Julai / Agosti 2008
MUDA: Saa 1 ¾
MAAGIZO:
Andika insha Mbili
Insha ya Kwanza ni ya Lazima.
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
Kila insha isipungue maneno 400.
Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.
1. INSHA YA LAZIMA
Ulihudhuria mkutano kuhusu uhamasisho dhidi ya unyanyasaji wa watoto, Alhamisi
25/9/2007 kuanzia saa tatu asubuhi. Andika kumbukumbu za mkutano wa kamati iliyohusika.
2. Eleza vile tatizo la ufisadi linavyoweza kutatuliwa hapa nchini.
3. Maji yakimwagika hayazoleki.
4. Hauchi hauchi, unakucha. Naam, siku njema niliyoisubiri kwa hamu na ghamu iliwadia.
Nilifurahi ghaya ya furaha. Lakini kumbe nilisahau kuwa si yote yaanzayo vyema huishi
vyema. Hapo ndipo…
Kamilisha dondoo hili.
Mwisho














































More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers