Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Laikipia District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Laikipia District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2010



JINA……………………………..………..NAMBA YAKO……………….. TAREHE……………..
SHULE…………………………………..…….… SAHIHI YA MTAHINIWA………………….…
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA YA KISWAHILI
MUDA: 1¾
MTIHANI WA LAICOMET KIDATO CHA NNE
Kenya Certificate of Secondary Education
MAAGIZO
_ Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima
_ kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo zilizosalia.
_ Kila insha isipunguwe maneno 400.
_ Kila insha ina alama 20.
1. Kampuni ya kutengeneza saruji ya ng’ombe imetangaza nafasi ya mkurungenzi wa mauzo,
tangazo nambari TL/NME/02/10 katika gazeti la Angazia. Andika barua rasmi ukiomba nafasi
hiyo na uimbatanishe na wasifu kazi.
2. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta madhara mengi kuliko manufaa. Jadili.
3. Vita havina macho.
4. Andika insha itakayomalizikia kwa …..tangu siku hiyo sijawahi kuuasi ushauri a wakuu.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers