Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Mumias District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Mumias District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI YA 1
JULA I/AGOSTI -201
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
102/1
MAAGIZO:
• Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue Maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni Mkuu wa Elimu Wilayani Juhudi.
Umetembelewa na waandishi wa habari. Wangependa kujua changamoto
zinanzoikumba elimu ya bure katika shule za upili wilayani mwako. Andika
mahojiano yenu.
2. Katiba ina umuhimu mkubwa nchini Kenya. Fafanua.
3. Ukimlea mwema na mui pia mlee.
4. Daktari alimjulisha kuwa huo haukuwa mwisho wa maisha yake. Rukia hakutaka
kuamini. Hata hivyo….(Endeleza).






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers