Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 102: Introduction To The History Of Kiswahili Question Paper

Aki 102: Introduction To The History Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
1ST YEAR 1ST SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
MAIN CAMPUS
COURSE CODE: AKI 102
COURSE TITLE: INTRODUCTION TO THE HISTORY OF KISWAHILI
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER, 2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.



SWALI LA LAZIMA
a) Mswahili ni nani? (Alama 4)
b) Kwa kutumia mifano mwafaka, eleza ithibati zozote NNE zinazotolewa kuthibitisha nadharia inayodai kwamba Kiswahili ni lugha ya Kiarabu. (Alama 8)
c) Thibitisha kwamba Kiswahili ni lugha ya Kiafrika yenye asili ya Kibantu kwa kurejelea vipengele muhimu vya vya kiisimu vyovyote VITANO. (Alama 10)
d) Eleza matatizo yoyote MANNE yanayoweza kumkumba mtafiti wa Kiswahili anayetegemea ithibati za kihistoria. (Alama 8)


SWALI LA PILI
Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki yalikumbwa na changamoto kadha kabla ya ukoloni. Jadili. (Alama 20)



SWALI LA TATU
Kiswahili ni chombo cha mawasiliano, utambulisho na kiunganishi cha watu wa Afrika Mashariki. Pendekeza mikakati inayofaa kutekelezwa kufikia azma hiyo. (Alama 20)


SWALI LA NNE
Jadili mchango wa Wamishenari katika kueneza lugha ya Kiswahili katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati kabla ya Ukoloni. (Alama 20)



SWALI LA TANO
Kwa kuonyesha sifa za kimuundo na mahali zinapozungumzwa, toa maelezo mafupi kuhusu lahaja za Kiswahili zozote tanoTANO. (Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers