Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Epe 114: Kiswahili Theories Of Vernacular Question Paper

Epe 114: Kiswahili Theories Of Vernacular 

Course:Bachelor Of Education In Early Childhood And Primary Education

Institution: University Of Kabianga question papers

Exam Year:2017



UNIVERSITY EXAMINATIONS.

2016/2017 ACADEMIC YEAR.

FIRST YEAR SECOND SEMESTER EXAMINATION.

FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION EARLY CHILDHOOD AND PRIMARY EDUCATION.

COURSE CODE: EPE 114

COURSE TITLE: KISWAHILI THEORIES OF VERNACULAR


MAAGIZO : Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI

1. a). Ukitumia mifano, eleza maana ya maneno yafuatayo.

i). Fonologia. (Alama 5)

ii). Mofuhuru. (Alama 5)

iii). Ploti. (Alama 5)

b). Toa asili ya lugha ukiangazia nadharia ya asili. (Alama 10)

c). Onyesha umuhimu wa kufundisha lugha za kimaeneo shuleni. (Alama 10)

2. a). Taja mambo matano ambayo mwalimu lazima azingatie anapofundisha stadi ya kuandika. (Alama 10)

b). Eleza mambo yanayopaswa kuzingatiwa wakati wa kuteua vitabu vya hadithi. (Alamu 5)

c). Taja sababu tano zinazochangia kuenea kwa lugha ya Kiswahili. (Alama 5)

3. a). Onyesha umuhimu wa lugha ya taifa katika shule za msingi. (Alama10 )

b). Eleza umuhimu wa utumiaji wa vifaa halisi katika ufundishaji wa lugha. (Alama 10)

4. a). 'Lugha ya mama ni muhimu katika shule za chekechea'. Jadili. (Alama 5)

b). Taja changamoto katika ufundishaji wa lugha mjini. (Alama 5)

c). Toa historia fupi kuhusu kuenea kwa lugha ya Kiswahili nchini. (Alama 10)

5. a). Watoto wanapaswa kuzungumza lugha tofauti. Taja hoja tano zinazohalalisha. (Alama 5)

b). Zitaje stadi za kufundisha lugha na umuhimu wa kila stadi sehemu hii. (Alama 10)

c). ' Kusikiliza ni muhimu katika ufundishaji wà lugha.' Jadili. (Alama 5)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers