Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Cks 405: Sociolinguistics In Kiswahili  Question Paper

Cks 405: Sociolinguistics In Kiswahili  

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2016



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2016/2017

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION (ARTS)
CKS 405: SOCIOLINGUISTICS IN KISWAHILI
DATE: 2ND DECEMBER, 2016 TIME: 2.00-4.00PM
MAAGIZO
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.
1. a) Eleza kwa tafsili dhana ya isimu jamii. (alama 4)
b)”Isimu jamii ni taaluma ina yoingiliana na taaluma nyingine.”Thibitisha. (alama 16)
c) Kwaku toa mifano, bainishavipengele vya kutofautisha lahaja. (alama 10)
2. Bainisha tofautikati ya: (alama 20)
a) Lugha ya taifa na lingua Franka
b) Kubadili msimbo na kuchanganya msimbo.
c) Lugha rasmi na lughasanifu.
d) Pijini na Krioli
3. Kwa kurejelea lugha ya Kiswahili, fafanua athari za uwingi lugha katika muktadha wa
Kenya.
(alama 20)
4. “Lugha hutumiwa kuendeleza ubaguzi wakijinsia.” Tathmini. (alama 20)
5. „Sajili za lugha hutokana na utabaka.?Jadili (alama 20)



6. a) Jadili sababu za kuwepo kwa mielekeo tofauti kuhusu lugha.
(alama 10)
b) Eleza hali zinazo changia mabadiliko ya lugha. (alama 10)








More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers