Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Questions and answers: Kiswahili

Ask, answer and revise exam-style questions across Kenyan subjects and professional courses.

Q&A Categories

Exams With Marking Schemes

2200 Questions    View: All Solved Unsolved

Search Results...
  • “Wamelaa?’ “Enh wamelala” “Basi wamelala tu?’ Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.

    Date posted: August 5, 2019
  • TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO “Wamelaa?’ “Enh wamelala” “Basi wamelala tu?’ Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.

    Date posted: August 5, 2019
  • TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO “Wamelaa?’ “Enh wamelala” “Basi wamelala tu?’ Eleza mbinu ya lugha iliyotumika.

    Date posted: August 5, 2019
  • TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO “Wamelaa?’ “Enh wamelala” “Basi wamelala tu?’ Taja wahusika wawili wanaorejelewa.

    Date posted: August 5, 2019
  • TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO “Wamelaa?’ “Enh wamelala” “Basi wamelala tu?’ Taja wazungumzaji katika muktadha huu.

    Date posted: August 5, 2019
  • TAMTHLIA: KIGOGO “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?” Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hii.

    Date posted: August 5, 2019
  • TAMTHLIA: KIGOGO Kando na kufungiwa soko, wanasagamoyo wanauguza majeraha yepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka?

    Date posted: August 5, 2019
  • “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?” Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili.

    Date posted: August 5, 2019
  • “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?” Weka maneno haya katika muktadha wake

    Date posted: August 5, 2019
  • “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo. Kitanda usichokilalia kunguni mwake huwajui.” Kwa kurejelea tamthlia ya KIGOGO, Thibitisha ukweli wa dondoo hili.

    Date posted: August 5, 2019
  • TAMTHLIA: KIGOGO “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo. Kitanda usichokilalia kunguni mwake huwajui.” Eleza muktadha wa dondoo hili

    Date posted: August 5, 2019
  • RIWAYA: CHOZI LA HERI Kwa kurejelea riwaya nzima eleza changamoto zinazoikumba jinsia ya “mwanagenzi”

    Date posted: August 5, 2019
  • Riwaya-Chozi la Heri Taja na ueleze mbinu mbili za lugha zinazijitokekeza katika dondoo hili.

    Date posted: August 5, 2019
  • RIWAYA: CHOZI LA HERI “……kama mataifa hayakushinda majabali miaka kumi iliyopita itakuwa huyu mwanagenzi ambaye hata mgwisho sisi ndio tulimfunza.” Weka dondoo hili katika muktadha wake.

    Date posted: August 5, 2019
  • Bainisha shamirisho kipozi na shamisisho kitondo katika sentensi ifuatayo: Onyango alimnunulia simu mpenzi wake.

    Date posted: August 5, 2019
  • Andika sentensi zifuatazo kulingana na maagizo uliyopewa. Ngome ya wanajeshi ilifanyiwa ukarabati. (Andika katika hali ya mazoea).

    Date posted: August 5, 2019
  • Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa “Nitaleta mzazi kesho na nitamwimbia wimbo huu hapa.” Bushonga alisema.

    Date posted: August 5, 2019
  • Kiimbo ni nini? Huku ukibainisha matumizi ya kiimbo tunga sentensi mbili.

    Date posted: August 5, 2019
  • Andika ngeli za maneno haya: (i) Kawa (ii) Baridi

    Date posted: August 5, 2019
  • changanua sentensi ifuatayo kwa mfumo wa mstari. Ng’ombe waliovamia shamba letu wamesababisha uharibifu mkubwa.

    Date posted: August 5, 2019
  • Majina mengi katika ngeli ya U-ZI huchukua kiambishi U katika umoja lakini viambishi tofauti katika wingi. Andika majina mawili ukionyesha viambishi hivyo tofauti katika umoja na wingi.

    Date posted: August 5, 2019
  • Eleza sifa za konsonanti zifuatazo: (i) /h/ (ii) /r/

    Date posted: August 5, 2019
  • Katika kila kiwango, wanafunzi huonekana kama wana shida kubwa sana katika kuyachambua mashairi. Hali hii ni matokeo ya mambo mengi. Yaweza kuwa mashairi waliyokutana nayo mara ya kwanza yalikuwa magumu, au yalikuwa yamechanganya Kiswahili sanifu na lahaja zingine ambazo wasomi hawangezielewa moja kwa moja. Jambo hili huwakatisha wanagenzi tamaa hasa wanapokosa kulipata katika kamusi msamiati uliotumika. Wanapotamauka, wao huwa hawataki kujishughulisha na mashairi. Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwao katika mtihani kwa vile wengi wao hulazimika kukutana na mashairi kwa mara ya kwanza katika chumba cha mtihani. Hiki ni kinyume cha jinsi mambo yanavyostahili kuwa. Ukweli ni kuwa mashairi yanastahili kuwaburudisha wasomi pindi wakutanapo nayo. Madai kuwa mashairi ya Kiswahili ni magumu kufahamika isipokuwa kwa watu maalum wenye vipawa maalum hayafai. Mwanafunzi ambaye anataka kufanya vizuri katika swali la mashairi ni lazima aanze kuyapenda mapema iwezekanavyo. Ni muhimu aazimie kuyapenda hasa ajuapo kuwa atatahiniwa katika sehemu hii. Kwa vile hana njia ya kuyaepuka,azingatie msemoi wa wazungu usemao kuwa kama hupati upendacho, anza kupenda kile ukipatacho. Ili kuchochea upendo ndani yake, asijishughulishe nayale mashairi ambayo anayaona kama ni magumu. Ajaribu kuyaelewa yale ambayo anayaelewa na kuudondoa ule ujumbe ambao yameubeba na vile vile ajaribu kuufurahia utamu wa maneno yaliyotumika. Atalipata hili kwa kuyasoma kwa sauti. Kila mara, akumbuke kwamba kadiri atakavyokutana na mashairi mengi ndivyo atakavyofurahia na kuyaelewa. Pili, akikutana na shairi, asishtushwe na msamiati au lahaja iliyotumika. Hata kama haelewi msamiati uliotumika, ajaribu kuelewa ujumbe uliomo katika shairi. Hata hivyo, lazima ajihami na msamiati mwingi iwezakanavyo. Isitoshe, ni muhimu katika mazoezi yake kujaribu kuandika mashairi yake mwenyewe ili aelewe ni kwa nini waandishi huyaandika mashairi jinsi wanavyoandika;Atagundua kwa nini waandishi huyarefusha, huyafupisha au huyabadilisha maana ya maneno mbalimbali. Mwandishi amependekeza hatua gani kuchukuliwa ili mwanafunzi afaulu katika maswali ya mashairi?

    Date posted: August 5, 2019
  • Katika kila kiwango, wanafunzi huonekana kama wana shida kubwa sana katika kuyachambua mashairi. Hali hii ni matokeo ya mambo mengi. Yaweza kuwa mashairi waliyokutana nayo mara ya kwanza yalikuwa magumu, au yalikuwa yamechanganya Kiswahili sanifu na lahaja zingine ambazo wasomi hawangezielewa moja kwa moja. Jambo hili huwakatisha wanagenzi tamaa hasa wanapokosa kulipata katika kamusi msamiati uliotumika. Wanapotamauka, wao huwa hawataki kujishughulisha na mashairi. Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwao katika mtihani kwa vile wengi wao hulazimika kukutana na mashairi kwa mara ya kwanza katika chumba cha mtihani. Hiki ni kinyume cha jinsi mambo yanavyostahili kuwa. Ukweli ni kuwa mashairi yanastahili kuwaburudisha wasomi pindi wakutanapo nayo. Madai kuwa mashairi ya Kiswahili ni magumu kufahamika isipokuwa kwa watu maalum wenye vipawa maalum hayafai. Mwanafunzi ambaye anataka kufanya vizuri katika swali la mashairi ni lazima aanze kuyapenda mapema iwezekanavyo. Ni muhimu aazimie kuyapenda hasa ajuapo kuwa atatahiniwa katika sehemu hii. Kwa vile hana njia ya kuyaepuka,azingatie msemoi wa wazungu usemao kuwa kama hupati upendacho, anza kupenda kile ukipatacho. Ili kuchochea upendo ndani yake, asijishughulishe nayale mashairi ambayo anayaona kama ni magumu. Ajaribu kuyaelewa yale ambayo anayaelewa na kuudondoa ule ujumbe ambao yameubeba na vile vile ajaribu kuufurahia utamu wa maneno yaliyotumika. Atalipata hili kwa kuyasoma kwa sauti. Kila mara, akumbuke kwamba kadiri atakavyokutana na mashairi mengi ndivyo atakavyofurahia na kuyaelewa. Pili, akikutana na shairi, asishtushwe na msamiati au lahaja iliyotumika. Hata kama haelewi msamiati uliotumika, ajaribu kuelewa ujumbe uliomo katika shairi. Hata hivyo, lazima ajihami na msamiati mwingi iwezakanavyo. Isitoshe, ni muhimu katika mazoezi yake kujaribu kuandika mashairi yake mwenyewe ili aelewe ni kwa nini waandishi huyaandika mashairi jinsi wanavyoandika;Atagundua kwa nini waandishi huyarefusha, huyafupisha au huyabadilisha maana ya maneno mbalimbali. Ni mambo gani yanayochangia kuanguka kwa mwanafunzi katika swali la ushairi?

    Date posted: August 5, 2019
  • SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika mashairi. (i) Ja (ii) Sharuti (iii) Utukufu (iv) Baidi

    Date posted: August 3, 2019
  • SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Taja na utoe mifano miwili idhini ya mtunzi uliotumika katika mashairi yote mawili.

    Date posted: August 3, 2019
  • SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Taja na utoe mifano miwili ya tamathali za usemi zilizotumika katika mashairi yote mawili.

    Date posted: August 3, 2019
  • SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Andika ubeti wa pili wa shairi B kati lugha nathari.

    Date posted: August 3, 2019
  • SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Linganisha bahari za shairi A na B

    Date posted: August 3, 2019
  • Jadili ufaafu wa anwani: Tumbo lisiloshiba kwenye hadithi hii

    Date posted: August 3, 2019