Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Ndhiwa District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Ndhiwa District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI YA 1
JULAI /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni katibu wa chama cha waandishi habari chipukizi shuleni kwako. Andika
kumbukumbu za mkutano uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2010
2. Fahali wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi.
3. “Sayansi na ufundi zina nafasi muhimu katika kuafikia ruwaza ya mwaka 2030 ya
maendeleo ya taifa. Jadili
4. Andika insha itakayomalizika kwa: …
Nilishangaa kugundua kuwa nilikuwa nimeokotwa msituni siku kumi baada ya mkasa huo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers