Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 301: Kiswahili Structure Question Paper

Aks 301: Kiswahili Structure 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 301: KISWAHILI STRUCTURE
DATE: THURSDAY, 17TH SEPTEMBER 2009 TIME: 11.00 A.M. - 1.00 P.M.
AGIZO: Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.
1. Jadili ubora na udhaifu wa mpangilio wa kimofolojia wa ngeli za Kiswahili.
(Alama 26)
2. Kwa kutoa mifano inayofaa, changanua muundo wa kitenzi cha Kiswahili.
(Alama 22)
3. Kwa kuzingatia kigezo cha uamilifu, bainisha maumbo manne ya sentensi
ya Kiswahili na utoe mifano.
(Alama 22)
4. Kwa kutoa mifano ya Kiswahili, eleza maana ya vipashio vifuatavyo:-
(a) Mofimu
(b) Neno
(c) Chagizo
(d) Shamirisho
(Alama 22)
5. Huku ukirejelea wataalamu wawili, fafanua maana ya dhana ya sarufi.
(Alama 22)
6. “Silabi ya Kiswahili ina miundo mbalimbali”. Eleza kwa kutoa mifano inayofaa.
(Alama 22)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers