Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 300-Morphology And Syntax Question Paper

Aks 300-Morphology And Syntax 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
INSTITUTIONAL SCHOOL BASED PROGRAME (IBP)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION OF
BACHELOR OF EDUCATION
AKS 300: MORPHOLOGY & SYNTAX
DATE: Thursday 29th April, 2010 TIME: 8.00 a.m ? 10.00 a.m

MAAGIZO
JIBU MASWALI MATATU, MOJA KUTOKA KILA SEHEMU A, B, NA C.
Sehemu A: Jibu swali MOJA ( Alama 24)

1.
Ukichunguza data ifuatayo, tambua na ueleze aina zozote nne za mofimu
zinazojidhihirisha.
Data:

Anampenda, baba, pundamilia, mama, safi, pigwa, sanduku,
masanduku,alimpigia, mpenzi, paa, askarikanzu, pande, wewe.
2.
Tumia sentensi zifuatazo kujibu maswali yafuatayo:
Sentensi:
i)
Rubani aliyefariki ni kakangu
ii)
Omari amefaulu mtihani
iii)
Mama anapika ugali hali baba anaoma gazeti
Maswali:
a)
Ainisha sentensi hizi kimuundo
b)
Zichanganue ukitumia kanuni ? virai na vielelezo vya matawi.




Page 1 of 2



Sehemu B: Jibu swali MOJA (Alama 23)
3.
Ukitoa mifano, fafanua dhana zifuatazo za kimofolojia.

a)
Mofu, Mofimu na Alomofu

b)
Ngeli na Unominishaji
4.
Ukitoa mifano, fafanua dhana ya neno kwa mujibu wa Katamba ( 1993)


Sehemu C: Jibu swali MOJA (Alama 23)
5.
Ukitoa mifano ya Kiswahili sanifu, fafanua dhana zifuatazo za kisintaksia.
a)
Kirai na Kishazi
b)
Kiima na Kiarifu
6.
Eleza sifa za sarufi mapokeo na uonyeshe mchango wake katika isimu.
Page 2 of 2






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers