-
Tunga sentensi yenye muundo ufuatao _RN+RT
Date posted:
August 26, 2018
-
Taaluma ya Sintaksia inahusiana na taaluma nyingine nyingi. Fafanua
Date posted:
August 26, 2018
-
Ni nini maana ya dhana Sintaksia?
Date posted:
August 26, 2018
-
Jadili maudhui ya ujenzi katika jamii katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted:
August 23, 2018
-
Uzembe ni Jambo la kawaida miongoni mwa wafanyakazi wa umma.Kwa kutolea mifano kumi tetea dai hili Kwa mujibu wa riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.
Date posted:
August 21, 2018
-
Nini tofauti ya ngoma na ngomezi?
Date posted:
August 18, 2018
-
Onyesha ufaafu wa mada "damu nyeusi"
Date posted:
August 15, 2018
-
onyesha matumizi ya tashhisi katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto
Date posted:
August 15, 2018
-
Eleza maudhui manne yanayojitokeza katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto.
Date posted:
August 15, 2018
-
Eleza kwa kina ufaafu wa mada "SAMAKI WA NCHI ZA JOTO" katika tamthilia ya damu nyeusi
Date posted:
August 15, 2018
-
Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu.
Date posted:
August 15, 2018
-
Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu.
Date posted:
August 15, 2018
-
Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu.
Date posted:
August 15, 2018
-
Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu.
Date posted:
August 15, 2018
-
Eleza kasoro nne ambazo hutumika kwa ngomezi kama kipera cha fasihi simulizi.
Date posted:
August 11, 2018
-
'Wapi kile kidume chako kioga? Nasikia ni mmoja wa wale waliotuuza.
1)weka dondoo hili katika muktadha wake.
2)onyesha sifa nne mhusika aliyerejelewa kama 'kidume kioga'
Date posted:
August 11, 2018
-
Jadili dhana ya chozi katika chozi la heri.
Date posted:
August 11, 2018
-
Eleza dhamira ya mwandishi katika hadithi ya kidege
Date posted:
August 11, 2018
-
Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi.
Date posted:
August 10, 2018
-
Onyesha jinsi maudhui ya migogoro yalivyodhirishwa katika kitabu cha Damu Nyeusi katika hadithi ya mke wangu.
Date posted:
August 10, 2018
-
Onyesha tofauti iliopo katika matumizi ya vitate T/D.
Date posted:
August 10, 2018
-
Tunga neno kisha toa maana kuonyesha tofauti ya vitate P/B.
Date posted:
August 10, 2018
-
Tambulisha katika sentensi tofauti ya vitate B/MB
Date posted:
August 10, 2018
-
Bainisha tofauti ya matumizi ya vitate D/ND.
Date posted:
August 10, 2018
-
Onyesha matumizi tofauti ya vitate J/NJ.
Date posted:
August 10, 2018
-
Thibitisha kwa kutungia sentensi matumizi tofauti ya vitate S/SH.
Date posted:
August 10, 2018
-
Thibitisha tofauti iliopo katika matumizi ya L na R.
Date posted:
August 10, 2018
-
Tunga sentensi kuonyesha matumizi tofauti ya th na dh.
Date posted:
August 10, 2018
-
Kwa kutungia sentensi onyesha matumizi ya sh na ch
Date posted:
August 10, 2018
-
Kwa kutoa mifano onyesha tofauti ya matumizi ya V na F.
Date posted:
August 10, 2018