📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Laikipia District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Laikipia District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



102/1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
JULAI / AGOSTI 2007
MUDA 1 ¾
JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA
LAIKIPIA 2007
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI KENYA
102 /1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
JULAI /AGOSTI 2007
MAAGIZO
 Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima kisha chagua insha nyingine kutoka kwa
hizo tatu zilizobakia.
 Kila insha isipungue maneno 400.
 Kila insha ina alama 20.
1. Umesoma tangazo katika gazeti moja mashuhuri nchini kuhusu nafasi ya kazi ya ualimu ambayo
umeisomea. Andika barua ukiomba kazi hii. Barua yako iandamane na wasifukazi (wasifu taala)
2. Mwenda tenzi na omo marejeleo ni ngamani.
3. Uhuru wa kuabudu una kasoro zake. Jadili
4. Andika insha itakoyomalizia kwa maneno:
………… hili lilikuwa jambo la ajabu ambalo sikuwa nimelishuhudia maishani mwangu.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers