Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kericho District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kericho District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI 2007
MUDA: SAA 1 ¾
JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA
KERICHO
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI 2007
102 /1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
MAAGIZO
 Jibu maswali mawili.
 Swali la kwanza ni la lazima.
 Insha ya pili isipungue maneno 400.
 Kila insha ina alama 20.
 Karatasi hii ina kurasa mbili zilizopigwa chapa. Hakikisha kwamba kurasa zote zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni mwenyekiti wa chama kinachohusu maslahi ya wanyama wa pori shuleni mwenu.
Andika barua ya kuomba fursa ya kuzuru mbuga moja maarufu nchini. Katika barua yako tumia
nambari ya kurejelea katika mawasiliano na ipitie kwa mwalimu mkuu wa shule yako.
2. Umaskini unaweza kuondolewa nchini Kenya. Jadili:
3. Ngozi ivute ili maji.
4. Andika kisa kitakachoanzia kwa maneno:
Hakuna aliyeamini kuwa Juma Mukosi angetenda ukatili wa aina hiyo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers