Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kakamega District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kakamega District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



102/1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
JULAI / AGOSTI 2007
MUDA 1 ¾
JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA
KAKAMEGA
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI
(K.C.S.E) 2007
102 /1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
JULAI /AGOSTI 2007
MAAGIZO
 Andika insha mbili. Swali la kwanza ni la lazima kisha chagua insha nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia.
 Kila insha isipungue maneno 400.
 Kila insha ina alama 20.
1. Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Taifa Leo ukilalamikia ongezeko la ajira ya watoto nchini
mwako huku ukipendekeza suluhisho la tatizo hilo.
2. Mchumia juani hulia kivulini.
3. Mikasa mingi inayokumba nchi ya Kenya ni msiba wa kujitakia. Jadili.
4. Simulia kisa kitakachomalizika kwa maneno yafuatayo, … ndipo nilipotanabahi kuwa mzaha
mzaha hutumbuka usaha.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers