📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Bondo District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Bondo District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
1
Jina………………………………………………… Nambari . ……………………………….
Shule ………………………………………………...
102/1
Kiswahili (Insha)
Karatasi 1
JULAI/AGOSTI 2007
Muda: Saa 1 ¾
WILAYA YA BONDO MTIHANI WA MWIGO WA K.C.S.E - 2007
Hati ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari Kenya (K.C.S.E.)
102/1
Kiswahili (Insha)
Karatasi 1
JULAI/AGOSTI 2007
Muda: Saa 1 ¾
MAAGIZO
• Andika insha MBILI
• Insha ya kwanza ni ya LAZIMA. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo zilizobakia.
• Kila insha isipungue maneno 400
• Kila insha ina alama 20
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Mwandikie barua mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Maji Mazuri ukiomba
kazi ya ualimu katika shule yake, andaa tawasifu yako ambayo utaiambatanisha
na barua hiyo.
2. Ukupigao ndio ukufunzao.
3. Visa vya ujambazi vimekithiri sana humu nchini. Jadili sababu zinazochangia
hali hii, kisha pendekeza njia za kukabiliana na uhalifu huo.
4. Pendekeza hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kukabiliana na janga la njaa humu
nchini.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers