Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Bomet District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Bomet District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI 2007
MUDA: SAA 1 ¾
JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA
BOMET 2007
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI KENYA
(K.C.S.E)
102 /1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
MAAGIZO
 Jibu maswali mawili.
 Swali la kwanza ni la lazima.
 Kila insha isipungue maneno 400.
 Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa mbili zilizopigwa chapa. Mtahiniwa ahakikishe kwamba kurasa zote zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
MASWALI
1. Andika mahojiano yaliyofanywa na polisi kwa mshukiwa aliyepatikana na mali ya wizi.
2. Maslahi ya wanawake yanawezaje kuimarishwa humu nchini?
3. Mkuki kwa nguruwe ni mtamu kwa binadamu mchungu.
4. Andika kisa kitakachomalizika kwa ---- laiti ningalijua ningalitilia mawaidha ya wavyele
wangu maanani






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers