Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nyamira District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Nyamira District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2006



102/1
KISWAHILI INSHA
1. Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Tujulisheni ukilalamikia dhuluma
wanazofanyiwa wanawake. *Nym *
2. Ufisadi ni janga ambalo limekita mizizi katika jamii. Fafanua. *Nym *
3. Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. *Nym *
4. Andika mahojiano kati ya afisa wa mazingira na mwanakijiji kuhusu uchafuzi wa
mazingira kijijini mwako. *Nym *
5. Andika insha itakayokamilika kwa maneno “…………………………..kweli
nilisadiki aliyosema afisa kuwa mazingira ni muhimu na yafaa kutunzwa”. *Nym *






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers